Skip to main content
Skip to main content

Baraza la mawaziri laidhinisha matumizi ya shilingi bilioni 4.1 kukabiliana na athari za ukame

  • | KBC Video
    108 views
    Duration: 1:59
    Baraza la Mawaziri limeidhinisha kutolewa kwa shilingi bilioni 4.1 kukabiliana na athari za ukame huku kaunti za Mandera, Wajir, Kwale na Kilifi zikiorodheshwa za kwanza kupokea fedha hizo kutokana na athari za ukame. Baraza la mawaziri linasema watu milioni 3.3 wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula kutokana na kiangazi kilichosababishwa na ukosefu wa mvua ya vuli. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive