Skip to main content
Skip to main content

Baraza la wazee Kakamega lawalaumu viongozi kwa vurugu unaoshuhudiwa mikutanoni mwa kisiasa, mazishi

  • | NTV Video
    709 views
    Duration: 1:05
    Baraza la wazee Kakamega limewanyooshea kidole cha lawama viongozi wa kisiasa kwa vurugu na uhasama unaoshuhudiwa kauntini humo haswa katika mikutano ya kisiasa na halfa za mazishi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya