Skip to main content
Skip to main content

Baraza la Wazee wa Luo lashutumu migawanyiko ndani ya ODM, lataka mazungumzo

  • | Citizen TV
    1,649 views
    Duration: 1:34
    Baraza la Wazee wa Luo limeshutumu migawanyiko ndani ya chama cha ODM na kutoa wito wa mazungumzo kati ya mirengo inayozozana. Kwenye mkutano na Waziri wa hazina kuu ya kitaifa John Mbadi, baraza hilo limeelezea wasiwasi kuhusu uhasama ndani ya chama hicho, miezi minne baada ya kifo cha aliyekuwa kinara wake Raila Odinga