Skip to main content
Skip to main content

Mlipuko mpya wa virusi vya Ebola waua watu 65 DRC. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    15,220 views
    Duration: 28:11
    Shirika la kudhibiti maambukizi barani Afrika, Afrika CDC limetangaza mlipuko wa ugonjwa Ebola katika mkoa wa Ituri Mashariki mwa DRC. Watu 65 wanaaminiwa kufariki kutokana na ugonjwa huo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw