Barongo Nolfason: Rais Ruto angekuwa na msimamo mkali wa ufisadi, angemwambia Duale asonge kando

  • | Citizen TV
    245 views

    Mbunge Barongo Nolfason: Iwapo Rais Ruto angekuwa na msimamo mkali wa kupambana na ufisadi, angemwambia Waziri Duale kuwa kutokana na ubadhirifu wa mali ya umma, asonge kando ili uchunguzi ifanywe lakini kwa sababu Duale ni rafiki yake, hakutakuwa na chochote