Skip to main content
Skip to main content

Basi la masomo dijitali

  • | Citizen TV
    148 views
    Duration: 3:01
    Kwa watoto wengi katika vitogoji duni, kupata kompyuta bado ni changamoto kubwa kwao. Hata hivyo, ndoto za baadhi yao eneo la kibra zimeanza kutimia kupitia basi maalum la kidijitali linayozunguka shule za umma na kuwapa nafasi ya kujifunza teknolojia kila wiki. Tulikutana na mamia ya wanafunzi hao ambao pia wanajihusisha na mafunzo ya mchezo wa raga kukuza talanta na masomo.