- 7,000 viewsDuration: 8:49Kwa vizazi vingi, jamii ya Wahadzabe nchini Tanzania imeishi kwa kutegemea uwezo wa kipekee wa kusoma na kuelewa mazingira yao, kufuatilia nyayo za wanyama, kutambua mimea na miti, kusikiliza milio ya ndege, na kuelewa mwelekeo wa upepo. Katika makala hii ya video, Sammy Awami @sammyawami anaungana na Wahadzabe katika shughuli zao za kila siku, akiwafuata wanapokwenda kuwinda na kushuhudia jinsi wanavyodumisha maisha yao kupitia mila na maarifa yaliyorithishwa kutoka kizazi hadi kizazi. 🎥@Bosha_Nyanje @brianmala @mtenganicholaus #bbcswahili #wahadzabe #afrika #foryouシ #foryouシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw