BBC MITIKASI LEO 08.12.2022

  • | BBC Swahili
    1,312 views
    Kenya imezindua mradi mpya wa reli katika jiji kuu la Nairobi ambao unalenga kupanua usafiri wa njia hiyo na kupunguza msongamano wa magari katikati mwa jiji. Uzinduzi wa mradi huo ambao utafadhiliwa na serikali ya Uingereza ulifanywa na Rais William Ruto, pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza, James Cleverly mnamo Jumatano. Na Peter Mwangangi #WilliamRuto #DRC #M23 #petermwangangi #KEPSA