BBC MITIKASI LEO 14.10.2022

  • | BBC Swahili
    1,824 views
    Na Hamida Abubakar: YALIYOMO, Tunapigia jicho aina mpya ya ndege inayotumia nishati safi na athari zake. Kisha Walinzi wa fuo za bahari Tunisia ,wapata miili 15 ya wahamiaji wa kiafrika katika pwani ya Mahdia.