BBC MITIKASI LEO 19.10.2022

  • | BBC Swahili
    1,243 views
    Na Hamida Abubakar: YALIYOMO…Tunamulika safari ya miaka 100 tangu kuanza kwa matangazo ya shirika la habari la BBC. Kisha , ukame unaoikumba nchi ya somalia kwa sasa unatishia kusababisha vifo vya Watoto, kwa kiwango ambacho hakijaonekana katika nusu karne.