BBC MITIKASI LEO 21.10.2022

  • | BBC Swahili
    869 views
    Na Hamida Abubakar: YALIYOMO: Tunapigia jicho hatua ya wafanyakazi kurudi katika sehemu zao za kazi za hapo awali. Kisha Maandamano yaendelea kusheheni katika sehemu mbali mbali za dunia kupinga kupanda kwa gharama ya maisha.