BBC MITIKASI LEO 24.1.23

  • | BBC Swahili
    1,959 views
    Na Hamida Abubakar. YALIYOMO...Maafisa wawili wa fedha wenye nguvu zaidi duniani wazuru taifa la Zambia. Tunakujuza ni kwa nini? kisha Tunaangazia changamoto za ujenzi na uwekezaji barani Afrika