BBC MITIKASI LEO 26.01.2023

  • | BBC Swahili
    2,948 views
    Mvutano baina ya Rwanda na DRC baada ya ndege ya kijeshi ya DRC kupigwa kombora na wanajeshi wa Rwanda. Aidha anga ya Somalia hatimaye imepata uainishaji wa daraja la ‘A’ baada ya zaidi ya miaka 30 kutoka kwa shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga IATA. Matangazo na Peter Mwangangi. #DRC #Rwanda #Goma #Kivu #petermwangangi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw