Mvutano wa ushuru kati ya Marekani na China

  • | BBC Swahili
    1,116 views
    Marekani na China wameongeza muda wa makataa ya kuongezeana ushuru wa kuagiza bidhaa kwa siku 90, saa chache tu kabla ya mataifa hayo ya Uchumi mkubwa kutarajiwa kuongezeana ushuru kwa bidhaa zao. Hii ikimaanisha kwamba Marekani itaendelea kutoza China asilimia 30 ya bidhaa inazotuma Marekani huku China ikiendelea na kutoza Marekani asilimia 10. Washington ilikuwa imetishia kutoza asilimia 145 kwa bidhaa za china huku Beijing ikilipiza kwa asilimia 125 kwa Marekani. @RoncliffeOdit anachambua kwa kina suala hili kwa pamoja na taarifa nyingine nyingi saa tatu usiku wa leo, mubashara kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube, BBC Swahili. #bbcswahili #marekani #china Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw