BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    530 views
    Katika kukabiliana na changamoto ya ajira kwa wahitimu wa chuo kikuu nchini Tanzania, Chuo kikuu cha Stella Maris kilichopo mkoani Mtwara wanatoa mafunzo maalumu ya ubanguaji na uchakataji wa korosho kwa wanafunzi wao ili kuwajengea uwezo wa kujiajiri wakiwa bado masomoni na hata baada ya kuhitimu @eagansalla_gifted_sounds_ alikuwa mkoani Mtwara na ameandaa taarifa hii #bbcswahili #tanzania #mtwara