BBC yatimiza miaka 100

  • | BBC Swahili
    251 views
    Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) linaadhimisha miaka 100 tangu kuzaliwa. Shirika hilo ambalo ni kubwa zaidi ulimwenguni, lilianzishwa rasmi tarehe 18 Oktoba 1922, huko London, Uingereza na limeshuhudia historia mbalimbali ndefu na za kusisimua. Inapoadhimisha miaka mia moja, inaangazia baadhi ya matukio yake makubwa na changamoto ilizopitia #bbcswahili #bbc100 #uingereza