Benki ya Equity yaanda warsha ya wanafunzi katika kaunti ya Nakuru

  • | Citizen TV
    245 views

    Benki ya Equity na wakfu wa Equity Group Foundation imeandaa warsha ya siku moja kwa wanafunzi wa shule za upili walionufaika na ufadhili wa masomo kutoka Wings to Fly na Elimu eneo la bonde la ufa. Warsha hiyo inapania kuwahamasisha wanafunzi hao kuhusu uongozi na umuhimu wa masomo.