Benki ya KCB imezindua madereva wake wawili kwa mashindano ya magari ya Safari Rally 20245

  • | West TV
    24 views
    Huku mashindano ya magari ya wrc safari rally yakitarajiwa kuandaliwa msimu wa pasaka mwaka huu, benki ya kcb imetangaza kutumia kima cha shilingi milioni 195 kufadhili mashindano hayo