Benki ya UBA yalenga wenye biashara ndogo

  • | KBC Video
    4 views

    Benki ya United Africa-UBA imetenga dola milioni-282 ambazo zitatolewa kama mikopo kwa wenye biashara ndogo na za kadri katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. Akiongea kwenye maadhimisho ya miaka-75 tangu kuanzishwa kwa benki ya UBA, mkurugenzi mkuu wa benki hiyo,Mary Mulili alielezea wajibu muhimu unaotekelezwa na wenye biashara ndogo na za kadri katika ustawi wa kiuchumi na kubuni nafasi za ajira ndiposa ipo haja ya kuwapa uwezo wa kifedha kuafikia malengo yao

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive