Polisi adaiwa kumuua kijana mmoja jijini Eldoret baada ya kumrusha mtoni

  • | Citizen TV
    3,113 views

    Hali ilikuwa si hali hii leo katika mtaa wa Kipkaren jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu, baada ya vijana wenye hasira kuandamana na kufunga barabara wakilalamikia UKIUKAJI WA HAKI. INADAIWA KWAMBA polisi alimkamata kijana mmoja NA KUMRUSHA MTONI AMBAPO ALIfariki.