Mauwaji ya mbunge wa Kenya ni ya kupangwa. Katika Dira ya Dunia TV.

  • | BBC Swahili
    4,234 views
    Polisi nchini Kenya sasa wanasema kwamba kifo cha mbunge kilichotokea usiku wa Jumatano jijini Nairobi kilikuwa kisa cha mauaji ya kupangwa na yaliyomlenga mbunge huyo. Mtu aliyekuwa kwenye pikipiki alimfyatulia risasi kwa karibu mbunge wa Kasipul – Charles Were kwenye makutano ya barabara za Raila Odinga na Ngong mwendo wa saa moja unusu usiku.