Hospitali ya MediHeal yakanusha ripoti ya kamati kuhusu biashara haramu ya figo

  • | Citizen TV
    212 views

    HOSPITALI YA MEDIHEAL IMETUPILIA MBALI RIPOTI YA KAMATI YA KUCHUNGUZA BIASHARA HARAMU YA FIGO NCHINI ILIYOPENDEKEZA KUCHUNGUZWA KWA MWENYEKITI WA HOSPITALI HIYO DAKTARI SWARUP MISHRA NA MADAKTARI WENGINE WATATU KWA MADAI YA KUHUSIKA NA BIASHARA HIYO HARAMU.