Hazina ya Hasla inahitaji shilingi bilioni saba zaidi ili kufanikisha utoaji mikopo kwa wakenya wanaoihitaji. Akiongea alipozuru shirika la utangazajii la Kenya-KBC, waziri wa ustawishaji vyama vya ushirika, biashara ndogo ndogo na za kadri Wycliffe Oparanya alisema kiwango cha sasa cha shilingi bilioni 13 hakitoshi kukidhia kiwango kikubwa cha mikopo ambayo haijalipwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive