Biashara I Kampuni ya CBNM imezindua kiwanda kipya cha uzalishaji katika kaunti ya Machakos.

  • | KBC Video
    48 views

    Kampuni ya kitaifa ya vifaa vya ujenzi nchini China ‘CBNM’, imezindua kiwanda kipya cha uzalishaji katika kaunti ya Machakos. Kiwanda hicho kina uwezo wa kutengeneza matofali milioni 4 ya paa za mawe na mabati. Kiwanda hicho ni cha pili kuanzishwa na kampuni hiyo barani Afrika baada ya kuanzishwa kwa kiwanda kingine nchini Nigeria na ni cha kwanza kuzinduliwa nje ya bara Asia

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive