Biashara I Matumizi ya akili mnemba 'AI' kusaidia katika tasnia ya uhandisi

  • | KBC Video
    10 views

    Matumizi ya akili mnemba au AI na kujifunza kupitia kwa mashine kutasaidia kuthibitisha baadaye maswala kadhaa katika tasnia ya uhandisi kutokana na mabadiliko makubwa na teknolojia zinazobadilika kila wakati. Mkuu wa Utumishi wa Umma Felix Koskei amesema teknolojia hizo zitasaidia kushughulikia pengo la talanta katika uhandisi kwa kuongeza uwezo wa kibinadamu, kurahisisha mtiririko wa kazi, na kupunguza kazi za kawaida na kuwaruhusu wahandisi kuzingatia uvumbuzi na kutatua changamano mbalimbali. Kwa hizi na habari nyingine ni katika mkusanyiko ufuatao wa habari za biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive