- 130 viewsDuration: 2:28Serikali imeanza kusambaza mbolea ya ruzuku ambapo maeneo ambapo mvua tayari imeanza kunyesha yatapewa kipaumbele. Katibu katika wizara ya kilimo Paul Rono amesema magunia milioni 8 ya mbolea hiyo yatasambazwa wakati wa msimu wa mvua ya masika. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive