Biashara I Mikopo ya kidijitali kutumiwa kufadhili biashara ndogo na za kadri

  • | KBC Video
    19 views

    Serikali inategemea mikopo inayotolewa kupitia teknolojia ili kupata shilingi trilioni 2.58 kufadhili biashara ndogo na za kadri. Katibu katika idara ya ustawi wa biashara ndogo na za kadri Susan Man’geni amesema ni rahisi kwa biashara hizo kupata mikopo kutoka kampuni zinazotoa huduma za fedha kidijitali kuliko taasisi nyingine za kifedha ambazo huchelea kupoteza fedha kupitia mikopo isiyolipwa, hali ambayo ni kizingiti kwa ukuaji wa sekta hiyo. Taarifa hii na nyingine ni kwenye kitengo cha kapu la Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive