Biashara I Serikali imezindua mkakati wa kuitanga Kenya kama kitovu cha utalii

  • | KBC Video
    24 views

    Serikali imezindua mkakati wa ambao utawezesha Wakenya walio ughaibuni kutekeleza wajibu mkubwa katika kuitanga Kenya kama kitovu cha utalii. Afisa mkuu wa bodi ya utalii humu nchini, June Chepkemei amesema bodi hiyo inashirikiana na wadau wa sekta ya kibinafsi kama vile wenye hoteli, mashirika ya ndege na kampuni za kitalii kutoa vishawishi kwa Wakenya walio ughaibuni kushiriki kikamilifu kwenye kampeni ya kuvutia watalii zaidi humu nchini. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa Biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive