Katibu katika wizara ya uchimbaji madini Harry Kimtai ametoa kauli yake kuhusiana na mradi wa uchimbaji dhahabu kwenye mgodi wa Shanta ulioko Ikolomani, katika kaunti ya Kakamega akisema hata ingawa haki ya kumiliki ardhi itazingatiwa, kikatiba madini yaliyo chini ya mchanga ni rasilimali ya Wakenya wote kwa jumla. Taarifa kamili ni kwenye kitengo cha Kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive