Biashara nyingi na mali zaporwa maeneo ya mashariki mwa Nairobi

  • | Citizen TV
    7,834 views

    Kufuatia maandamano ya hapo jana, wezi waliwavamia wakazi na kuwapora na pia kuvamia nyumba katika mitaa mbalimbali ikiwemo kayole, jamhuri, donholm, tassia na pipeline hapa jijini nairobi. Wezi hao pia wanaarifiwa kuwahangaisha wakazi asubihi ya leo.