Skip to main content
Skip to main content

Biashara: Serikali yanuia kurahisisha uchukuzi kwenye Ushoroba wa Kaskazini

  • | KBC Video
    87 views
    Duration: 3:05
    Kenya inanuia kurahisisha usafirishaji wa mizigo kwenye ushoroba wa kaskazini kupitia kuondoa vikwazo visivyo vya ushuru kama vile kupunguza vizuizi vya ukaguzi wa polisi kutoka 26 hadi vitano kama sehemu ya kusitisha ucheleweshaji wa malori yanayopeleka mizigo kwenye mataifa jirani. Katibu katika idara ya masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dkt. Caroline Karugu amesema serikali ya taifa imegatua vituo kwenye barabara kuu ili kuondoa vikwazo vinavyoathiri biashara katika kanda hii. Kwa mengi zaidi hiki hapa kitengo chetu cha Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive