Biashara zilisalia zimefungwa kwa kutwa nzima Nairobi

  • | Citizen TV
    3,041 views

    Shughuli za biashara zilitatizika hii leo huku maduka na ofisi nyingi katikati ya jiji la Nairobi zikifungwa kufuatia vurugu la maandamano ya leo. Baadhi ya wafanyabiashara wakikadiria hasara baada ya mali yao kuharibiwa, kwenye siku ambayo barabara za kuingia mjini zilisalia na shughuli chache.