Wauguzi wa kaunti ya Busia wameanza mgomo leo

  • | Citizen TV
    180 views

    Kwingineko shughuli za matibabu zinatarajiwa kutatizika pakubwa baada ya wauguzi katika kaunti ya Busia kuanza mgomo wao saa sita usiku wa kuamkia leo wakilalama kuwa serikali ya kaunti imeshindwa kuangazia masaibu yao