Biden: Ushindi wa chama cha Republikan utadhoofisha demokrasia Marekani

  • | VOA Swahili
    1,106 views
    Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa ushindi wa Chama cha Republikan katika uchaguzi wa katikati ya muhula uliofanyika leo utadhoofisha mfumo wa demokrasia nchini Marekani. Na kwa upande wake Rais wa zamani Donald Trump akieleza kuwa matukio ya uhalifu yameongezeka nchini chini ya utawala wa Biden. Endelea kusikiliza repoti kamili... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.