Bikizee abeba mboga za Sh250 shuleni kukamilisha karo ya zaidi ya shilingi laki moja ya mjukuu wake

  • | NTV Video
    3,723 views

    Walimu katika Shule ya Upili ya Mseto ya Sigiria, iliyoko Rongo, Kaunti ya Migori, walipigwa na butwaa leo baada ya bikizee wa umri wa miaka 70 kufika langoni mwa shule hiyo akiwa amebeba kikapu kidogo kilichojaa mboga za kienyeji, zenye thamani ya shilingi 250.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya