Bintiye Aga Khan akutana na Mama wa Taifa

  • | KBC Video
    35 views

    Mama wa taifa Rachel Ruto leo alikutana na Zahra Aga Khan, bintiye mstahiki Aga Khan. Mashauriano yao yaliangazia fursa za ushirikiano na uungaji mkono maendeleo katika sekta mbali mbali nchini Kenya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive