Idadi ya waliokufa maji yafika watu 219 nchini

  • | Citizen TV
    11,229 views

    Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko imeongezeka hadi watu 219, baada ya vifo 9 zaidi kuripotiwa . Kulingana na ripoti kutoka kwa wizara ya usalama wa ndani zaidi ya familia 41,000 zimepoteza makazi kutokana na mafuriko, ambayo yameathiri zaidi ya watu 223,000 hadi sasa. Serfine Achieng’ Ouma anatupa taswira ya maaşa ya kitaifa ya mafuriko haya.