Bodi ya kudhibiti michezo ya kamari nchini BCLB inatoa msaada kwa waathiriwa wa mafuriko Makueni

  • | Citizen TV
    287 views

    Bodi ya kudhibiti michezo ya kamari na bahati nasibu - BCLB- ikiongozwa na mwenyekiti wake DKT. Jane Mwikali inasambaza chakula cha msaada kwa waathiriwa wa mafuriko katika eneo la Kako eneo bunge la Mbooni kaunti ya Makueni. Makueni ni mojawapo ya kaunti zilizoathirika na mafuriko ambapo watu ishirini na watano wamefariki kutokana na mafuriko hayo huku zaidi ya nyumba mia moja zikiporimoshwa na mvua.