Boma la katibu wa zamani Richard Lesiyampe ilioko Samburu lavamiwa na wezi wa mifugo

  • | Citizen TV
    1,243 views

    Hofu Ya Usalama Samburu Kumekuwa Na Hofu Miongoni Mwa Wakaazi Loboingare Boma La Katibu Wa Zamani Richard Lesiyampe Lilivamiwa Wanakijiji Huhifadhi Mifugo Wao Kwenye Boma Hili Wakaazi Wanataka Serikali Kuimarisha Usalama Eneo Hili