17 Feb 2026 1:16 pm | Citizen TV 1,779 views Duration: 1:15 Operesheni ya kiusalama inayoendelea katika kaunti ya Isiolo imepata mafanikio makubwa katika kipindi cha wiki moja iliyopita, ambapo silaha haramu 16 zaidi zimerejeshwa.