Bunge fc ya Kenya yanyakua nishani ya shaba katika michezo ya mabunge ya jumuiya ya EA

  • | NTV Video
    293 views

    bunge fc ya kenya ilinyakua nishani ya shaba katika makala ya 14 ya michezo ya mabunge ya jumuiya ya afrika mashariki iliyoisha katika kaunti ya mombasa. uganda ilitwaa dhahabu nayo tanzania ikashinda medali ya fedha. mwanaspoti yoshua makori anaarifu zaidi kutoka pwani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya