Bunge la kaunti lapeleka vikao katika wadi tofauti Kwale

  • | Citizen TV
    115 views

    Bunge la kaunti ya Kwale likishirikiana na shirika la kutetea haki za kibinadamu la HURIA limeanzisha vikao vya bunge mashinani katika wadi za kaunti hiyo.