Bunge la kaunti ya Taita Taveta lalaumiwa kwa kufuja pesa za umma

  • | Citizen TV
    228 views

    Bunge la kaunti ya Taita Taveta limenyoshewa kidole cha lawama baada ya madai ya ufujaji wa Fedha za Umma na Mawakilishi wadi na baadhi ya wafanyikazi wa bunge hilo ambao wamekua wakienda safari za kigeni katika mataifa ya israeli, Korea, Zanzibar na Norway.