Bunge la Kenya lasubiriwa kuidhinisha kikosi cha Kenya kuhudumu Haiti

  • | K24 Video
    54 views

    Serikali inasubiri bunge la taifa kuidhinisha kikosi cha maafisa wa usalama kuelekea nchini haiti baada ya baraza la usalama la umoja wa mataifa UNSC kutoa idhini. Ikiwa sasa ni rasmi kwamba maafisa wa usalama elfu moja wataenda kutuliza hali Haiti ,Rais William Ruto amekaribisha azimio hilo ,akisema kuwa kenya haitafumbia macho mgogoro wa kibinadamu haiti.