Bunge la Mwananchi lataka wakurugenzi wakuu wa KeNHA na KERRA waliojiuzulu wachunguzwe

  • | KBC Video
    165 views

    Bunge la Mwananchi Nairobi sasa linadai hatua ya hivi majuzi ya kujiuzulu kwa wakurugenzi wawili wakuu wa mashirika mawili ya barabara ni njama ya kukwepa kuwajibikia shughuli zisizofaa katika mashirika hayo. Kundi hilo la kisiasa likiongozwa na francia Awino linazitaka taasisi za uchunguzi kuchunguza usimamizi wa fedha katika wizara ya barabara na uchukuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive