Skip to main content
Skip to main content

Bunge la Nairobi laidhinisha kamati kuchambua mkataba wa ushirikiano na serikali ya kitaifa

  • | Citizen TV
    227 views
    Duration: 1:40
    Bunge la Kaunti ya Nairobi limeidhinisha kuundwa kwa kamati maalum ya kuchambua Mkataba wa Ushirikiano kati ya Serikali ya Kaunti na Serikali ya Kitaifa. Kamati hiyo yenye wanachama 21 itaanza kusikiza maoni ya wananchi kuhusu mkataba huo na kisha kuwasilisha ripoti yake latika bunge la kaunti. Katika kikao maalum cha bunge hilo, wajumbe waliusifu mkataba huo wakisema kuwa utaboresha utoaji huduma