Bunge la seneti kujadili mswada wa fedha wa mwaka wa 2024/2024 Jumanne

  • | Citizen TV
    501 views

    Bunge La Seneti Litafanya Kikao Maalum Siku Ya Jumanne Kujadili Mswada Wa Fedha Wa Mwaka 2024/25 Baada Ya Vikao Vya Kusikiza Maoni Ya Umma Kukamilika Jumatatu. Haya Ni Huku Makadirio Ya Bajeti Ya Shilingi Trilioni 4.2 Ya Mwaka Wa Kifedha Wa 2024/25 Yakipangiwa Kufanyika Alhamisi. Matukio Hayo Yanajiri Huku Viongozi Wa Mrengo Wa Azimio Wakiapa Kuangusha Mswada Huo Wa Fedha Ambao Wanasema Unawafinya Sana Wananchi.