Bunge la seneti lamnusuru naibu gavana wa Siaya William Oduol aliyekuwa ametimuliwa

  • | KBC Video
    43 views

    Bunge la seneti limetupilia mbali hoja ya kumtimua naibu gavana wa kaunti ya Siaya William Oduol. Maseneta 26 walipinga ripoti ya kamati maalum iliyothibitisha madai dhidi ya Oduol yaliyotolewa na bunge la kaunti hiyo. Ni maseneta 16 pekee waliounga mkono kung’atuliwa kwa naibu gavana huyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #williamoduol