Bunge lachunguza mienendo ya wanajeshi wa Uingereza

  • | Citizen TV
    485 views

    Kamati ya bunge kuhusu ulinzi imeanza uchunguzi wa mienendo ya wanajeshi wa uingereza wanaofanyia mazoezi humu nchini katika kambi ya Nanyuki, Batuk.