Bunge laidhinisha polisi wa Kenya kwenda Haiti

  • | Citizen TV
    464 views

    Bunge limeidhinisha polisi wa Kenya kusafiri Haiti kupambana na uhalifu nchini humo. Haya yamejiri mchana wa leo kwenye mjadala mkali ulioshuhudiwa bungeni. Wakati huo huo, hoja iliyowasilishwa mahakamani kupinga hatua hiyo inaendelea